Card b na Offset mambo yatengemaa.

In Burudani, Kimataifa

Cardi kwenye moja ya mahojian0 ameeleza jinsi gani watu walimtumia msg kuhusu kuachana na Offset amaye ni mpenzi wake .Card b ameonyesha kuwa wamekutana mara kadhaa na Offset bila kusahau vacation yao Puerto Rico.

Rapa Cardi b amekiambia kipindi kimoja kuwa anataka watoto wake wawe na wazazi wote wawili kwani yeye wazazi wake waliachana akiwa na miaka 13.Na alipoulizwa kuhusu wao kupatana akasema kuwa “I think we’re gonna be alright. You know, you got to take it slow.”

Akimanisha nadhani tutakuwa sawa, inabidi uchukulie vitu polepole.Na kusema anataka awe na watoto Zaidi ya huyo aliempata na Offset.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu