Category: Afya

WATOTO 109,514 KUPATIWA CHANJO YA MATONE DHIDI YA POLIO WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA

Katika utekelezaji wa zoezi la Kampeni ya chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa  Polio, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

Read More...

JUMLA YA WATU 2249 VISIWA VYA MULEBA WAPATIWA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG .

Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwa

Read More...

Serikali yanuia kupunguza gharama za kusafisha figo.

Serikali imesema kuwa gharama za matibabu ya kusafisha figoni kubwa kiasi kwamba hazibebeki,hivyo inafanya mapitio yakuzipunguza. Ahadi hiyo imetolewa bungeni

Read More...

Health Basket Fund kuchanga Bilioni 98.1 za Afya nchini

Wadau wa Mfuko wa Afya wa pamoja nchini (Health BasketFund) wamepanga kuchangia kiasi cha shilingi Bilioni 98.1 kwaajili ya

Read More...

SERIKALI KUHAKIKISHA HUDUMA ZA SIKOSELI KUPATIKANA NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katikampango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ilikuweza kupambana nao

Read More...

Tanzania mbioni kuitumia dawa mpya ya Saratani.

Serikali imesema ipo tayari kutumia dawa mpya ya saratani yautumbo iliyo gunduliwa huko nchini Marekani,endapo shirika laAfya ulimwenguni litaipitisha

Read More...

Asilimia 1.4 ya Watanzania wanajisaidia vichakani.

Imeelezwa kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 mwaka 2017,hadi asilimia 1.4 Desemba 2021. Hayo yamesemwa

Read More...

Muhimbili wapewa miezi 2 kuboresha utoaji huduma.

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepewa miezi miwili kujitathimini uwezo wao wa usimamizi wa kutoa huduma na kuboresha

Read More...

Lipo Tatizo la ugonjwa wa shinikizo la macho nchini.

Tanzania imeungana na mataifa mengine katika maadhimisho ya wiki ya ugonjwa wa shinikizo la macho duniani huku takwimu zikionesha asilimia 90 ya

Read More...

Lishe bora, hatua ya kwanza dhidi ya magonjwa kama Uviko-19

Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), watu wengiwanaougua COVID-19 hupata dalili za wastani na hupona bilamatibabu maalum. Lakini, kwa kuwa na kinga duni mwilini, wengine wengi huumwa sana mpaka kulazwa, na hatakupotezamaisha. “Tofauti kati ya kuugua kidogo tu na kupata nafuu bila kulazwahospitalini na kuumwa hadi kulazwa inategemea mfumo wakowa kinga mwilini ambao unahusiana moja kwa moja na kileunachokula pamoja na mtindo wako wa maisha,” anaelezeamtaalamu wa afya kutoka Faseeha Aman. Akielezea kuhusu umuhimu wa uboresha kinga za mwiliilikuzuia magonjwa kama Covid-19, Biram Fall, Meneja Mkuuwa Kanda wa Qnet katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara alisema, “…kutambua malengo yanayofaa ya afya na kuanzishatabia nzuri ni rahisi na huanza na wewe, nyumbani kwako,” Kupitia waraka kwa vyombo vya habari mwishni mwa wiki hii, Fall alisema, “…kutambua malengo yanayofaa ya afya nakuanzisha tabia nzuri ni rahisi na huanza na wewe, nyumbanikwako.” Meneja huyo alisema, ukizingatia kwamba kwenye swala la lishe bora, sio kula tu ni muhimu, bali kula chakula sahihi nakwa kiasi na wakati sahihi. Kwa mfano, maji ni uhai, lakini majimengi yamechafuliwa na bakteria na virusi, pamoja na plastikindogo, kemikali na hata chembechembe za vyuma vizito. Hivio, ni bora zaidi kuyasafisha maji kabla ya kunywa Unawezakwa kuchemsha au kutumia mifumo ya kisasa kama mashine zakuchuja maji za Qnet zilizopewa jina la HomePure Nova. Kutumia mashine hii, ni rahisi kusakinisha na hupitisha majikupitia safu tisa za uchujaji, kihakikisha maji unayokunywa nimasafi kwa asilimia 99.9%. Vile vile, kuna haja ya kujijengea mwenendo mzuri wa kulachakula chenye afya kwa kushirikiana na marafiki nawafanyakazi wenzetu. Kwa mafano makampuni mengi dunianisasa yanasistiza ulaji wachakula bora makazini. Mfano mzuri hapa ni kampuni ya Qnet ambayo ina sera yakuhakikisha mazingira mazuri ya kazi ikiwamo sheriainayokataza ulaji wa nyama nyekundu kazini na kuhimiza ulajiwa matunda na mboga za majani.  Zaidi ya hapo, kampuni hiopia ina programu bunifu ya kudhibiti tatizo la uzito mkubwa. Programu hio inayo itwa BELITE123 husaidia kudumisha kingaya mwili na kuondoa sumu mwilini. Lishe bora na ulaji wa virutubishi vya lishe huathiri mfumo wakinga, kwa hivyo njia pekee ilioendelevu ya kuishi katikakipindi hiki cha Covid-19 ni kwa kuimarisha mfumo wa kinga. Mlo sahihi unaweza kuhakikisha kuwa mwili uko katika hali yakushinda virusi.

Read More...

Mobile Sliding Menu