Category: Afya

Serikali ipo tayari kumtibu Tundu Lissu.

Dar es Salaam. Serikali imesema ipo tayari kugharamia matibabu zaidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu popote duniani.

Read More...

Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi.

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameungana na viongozi wa Chadema kuweka kambi jijini Nairobi akisubiri ridhaa ya madaktari

Read More...

Wizara ya Afya, vifaa vya Hospital kutengenezwa nchini.

Wizara ya Afya imeingia makubaliano na Kampuni ya uzalishaji wa vifaa vya hospitali ya China ili kutengeneza kiwanda kitakachotengeneza

Read More...

Ukimwi wazidi kuwa tishio nchini.

    Inadaiwa kuwa watu milioni 1.4 wanaishi na virusi vya ukimwi nchini Tanzania huku idadi ndogo ya wananchi

Read More...

Wagonjwa wa akili waongezeka Tanzania.

    Tafiti zilizotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto zinaonyesha kuwa, magonjwa ya

Read More...

Tatizo la nguvu za kiume zatinga bunge.

  Sakata la upungufu wa nguvu za kiume ambalo limekuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya wanaume nchini, limeibua sintofahamu

Read More...

Watafiti wagundua kwa nini mtu huchelewa kulala au kutopata usingizi ugenini.

Inawezekana wewe ni mmoja kati wa watu ambao hukosa usingizi kabisa au kushindwa kulala vizuri pindi unapotembelea sehemu tofauti

Read More...

Kero ya maji Muleba yatatuliwa

Hospitali ya Kagondo wilayani Muleba mkoani Kagera, imepata msaada wa visima vya maji kutoka Rotary Club ya Bukoba kwa

Read More...

Asilimia 20 ya vifo nchini ni watoto

Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu NIMR, imetoa matokeo ya utafiti wa vifo vinavyotokea katika hospitali za Tanzania

Read More...

Twaweza watoa utafiti juu ya huduma za afya nchini

Kuna dalili za kupungua muda wa wagonjwa kumuona daktari, baada ya utafiti kuonyesha wale waliokuwa wakisubiri kwa zaidi ya

Read More...

Mobile Sliding Menu