Category: Afya

Asilimia 20 ya vifo nchini ni watoto

Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu NIMR, imetoa matokeo ya utafiti wa vifo vinavyotokea katika hospitali za Tanzania

Read More...

Twaweza watoa utafiti juu ya huduma za afya nchini

Kuna dalili za kupungua muda wa wagonjwa kumuona daktari, baada ya utafiti kuonyesha wale waliokuwa wakisubiri kwa zaidi ya

Read More...

Dawa za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI ulaya na Amerika ya Kaskazini zaboreshwa.

Watafiti nchini Uingereza wanasema dawa za kupunguza makali ya virusi katika Ulaya na Amerika ya Kaskazini, zimeboreshwa kiasi kwamba

Read More...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aagiza madaktari mia258 kuajiriwa.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN MAGUFULI ameagiza kuwaajiri madaktari mia 258, pamoja na wataalam wengine

Read More...

Mtoto aliyekuwa na Ugonjwa wa Uzee Afrika Kusini Afariki Dunia

Haina maana kwamba kwenye Dunia ya leo kuwa Maarufu ni mpaka uwe mwanamuziki, au mtu yeyote ambaye anajihusisha na

Read More...

Waziri Ummy Mwalimu amteua Lwezimula kuwa Mkurugenzi wa MOI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amemteua Dk.Respicious Lwezimula kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa

Read More...

Tanzania yagundua Dawa ya Tezi Dume, Iko kwenye hatua za mwisho

TANZANIA iko kwenye hatua za kuridhisha katika utafiti wa miti maalumu inayoaminika itakuwa chanzo cha dawa maalumu ya kuzuia

Read More...

Mobile Sliding Menu