Category: Burudani

Meek Mill aachiwa, Jay z na mastaa wengine washerekea.

Rapper Meek Mill ameachiwa Jumanne hii ya April 24 kutokana na amri ya Mahakama Kuu ya mjini Philadelphia kutokana

Read More...

Maddona ashindwa kesi,Barua ya kutemwa na Tupac kuuzwa mwezi julai.

Staa wa miondoko ya Pop, Madonna ameshindwa kesi ya ‘haki ya kulinda kutotolewa kwenye jamii kwa mambo yake binafsi’

Read More...

Mwili wa Masogange wawasili Kijijini kwao Utengule.

Mwili wa Msanii Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ umewasili nyumbani kwao katika Kijiji cha Utengule mkoani Mbeya tayari kwa mazishi.

Read More...

Mwili wa mlimbwende Agness Masongange kuagwa leo.

Mwili wa Agnes Gerald ‘Masogange’ unatolewa Muhimbili  utaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa

Read More...

Mwili wa Agnes Masogange kuagwa kesho.

Mwili wa aliyekuwa msanii wa video za muziki wa Tanzania, Agnes Gerald maarufu Masogange unatarajiwa kuagwa kesho katika Viwanja

Read More...

Nandy awaomba radhi mashabiki kuvuja kwa video yake.

Baada ya hapo jana Nandy kuwaomba radhi mashabiki wake kutokana na kusambaa kwa video iliyomuonyesha akiwa faragha na aliyekuwa

Read More...

Album ya ‘Invasion of Privacy’ ya Cardi B yagonga Gold kwenye mauzo.

Ikiwa ni siku sita tu zimepita tangu rapa Cardi B aachie album yake ya kwanza ya ‘Invasion of Privacy’

Read More...

Rostam kufanya Collabo na Khaligraph Jones.

Roma na Stamina ambao wanaunda kundi la Rostam wapo katika hatua za mwisho kukamilisha video ya wimbo wao waliofanya

Read More...

The Weeknd atoa onyo kwa Wizkid na wasanii wengine wanaotumia neno ‘StarBoy.

Msanii wa muziki kutoka Canada, The Weeknd amewaonya wasanii wa muziki dunia akiwemo Wizkid kuacha mara moja kutumia neno

Read More...

Wema Sepetu: Sioni Wivu Diamond Kumkumbatia Hamisa Mobeto.

Wakati habari zilizopo mjini kwa sasa ni tukio la mwanamitindo Hamisa Mobetto na msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul

Read More...

Mobile Sliding Menu