Category: Kimataifa

Mnangagwa rasmi Rais Zimbabwe ahututubia Taifa.

Emmerson Mnangagwa, kwa jina la utani The the crocodile”, ameanza hotuba yake kama rais wa Zimbabwe. ”Nahisi furaha sana

Read More...

Mnangagwa aapishwa kuwa Rais wa Zimbabwe.

Raia wa Zimbabwe wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa michezo mjini katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kwa

Read More...

Mugabe atangaza kujiuzulu.

Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Kumekuwa na

Read More...

Bunge kupiga kura ya kutokua na imani na Mugabe.

Chama cha rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kinatarajiwa kuanza mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae. Afisa

Read More...

Siri nzito yafichuka Zimbabwe.

Ni siri iliyofichuka nchini Zimbabwe kwa miaka mingi kwamba Emmerson Mnangagwa alitaka kumrithi Robert Mugabe kama rais. Na Bwana

Read More...

Mahakama yabariki ushindi wa Uhuru Kenya.

Mahakama ya Juu Kenya imeamua uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika tarehe 26 Oktoba, 2017 ulikuwa halali. Rais Uhuru

Read More...

ZANU – PF kumshtaki Mugabe.

Mtandao wa Twitter unaofuatilia taarifa za vyombo vya habari nchini Zimbabwe unaripoti kuwa Kiongozi wa chama tawala Cha ZANU

Read More...

Maamuzi kuhusu kesi ya Urais Kenya kutolewa leo.

Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya Jumatatu inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi zilizowasilishwa kwenye mahakama hiyo kupinga uchaguzi wa

Read More...

Mugabe ahutubia Taifa bila kujiuzulu.

Wengi walitarajia kwamba Rais Robert Mugabe angetumia hotuba yake ya moja kwa moja kwenye runinga kujiuzulu, hasa baada ya

Read More...

Rais Mugabe apewa masaa kujiuzulu urais Zimbabwe.

Baada ya kuvuliwa nafasi ya kiongozi wa juu wa Chama cha Zanu- PF Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amepewa

Read More...

Mobile Sliding Menu