Category: Kimataifa

Rais Trump akutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza.

Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na Malkia Elizabeth wa Pili nchini Uingereza alikokwenda kwa ziara ya siku mbili

Read More...

Jeshi la Sudan lakemewa kushambulia waandamanaji.

Jeshi la nchini Sudani limekemewa kutokana na mashambulizi yake dhidi ya waandamanaji mjini Khartoum, hatua iliyosababisha watu 30 kupoteza

Read More...

Mgogoro Sudan wazuka upya baada ya wanajeshi kuwashambulia waandamanaji.

Vikosi vya ulinzi nchini Sudan vimetumia nguvu kujaribu kuwatawanya waandamanaji waliokita kambi nje ya makao makuu ya jeshi jijini

Read More...

Mwili wa Tshsekedi wawasili Kinshasa

Mwili wa kiongozi wa zamani wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Etienne Tshisekedi umewasili kwenye mji mkuu

Read More...

Mwili wa Savimbi wagombaniwa.

Mzozo umeibuka baina ya serikali ya Angola na upinzani juu ya mipango ya kuzika upya mwili wa aliyekuwa kiongozi

Read More...

Watu 30 wafariki dunia DRC baada ya boti kuzama.

Watu wasiopungua 30 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama kwenye ziwa huko

Read More...

Theresa May ametangaza kujiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametangaza leo kujiuzulu akisema ataondoka rasmi baadaye mwezi ujao baada ya kushindwa kuwashawishi

Read More...

Rais wa zamani wa argentina, afunguliwa mashitaka ya rushwa.

Rais wa zamani wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner amefunguliwa mashitaka ya rushwa, siku tatu baada ya kutangaza kuwania

Read More...

KRC Genk yatwaa ubingwa wa Ubelgiji.

KRC Genk imetwaa ubingwa wa Ubelgiji kwa mara ya nne.   KRC Genk imetwaa ubingwa wa Ubelgiji kwa mara

Read More...

Trump ametangaza hali ya hatari kulinda mawasiliano ya nchi dhidi ya maadui.

Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kwa ajili ya kuilinda mifumo ya kompyuta dhidi ya ” wapinzani wa

Read More...

Mobile Sliding Menu