Category: Kimataifa

Kura ya kuongeza muda wa Urais yafanyika Burundi.

Burundi inafanya kura ya maamuzi hapo inayopania kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba. Marekebisho hayo ya katiba

Read More...

Kim Jong-un atishia kufuta mkutano wake na Trump.

Korea Kaskazini imesema huenda ikaufuta mkutano kati ya kiongozi wake Kim Jong-un na Rais wa Marekani Donald Trump iwapo

Read More...

Melania Trump afanyiwa upasuaji wa figo.

Mama wa Taifa nchini Marekani Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo. Ofisi yake ilisema kuwa madaktari walifanya upasuaji huo kwenye

Read More...

Marekani kufungua ubalozi mpya leo mjini Jerusalem

Marekani itafungua ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa

Read More...

Watu 9 waumeuwa nchini Indonesia baada ya makanisa kushambuliwa kwa mabomu

Wahanga wa kujitoa kufa, wamevamia makanisa matatu nchini Indonsia na kuyalipua kwa mabomu. Milipuko hiyo imetokea katika mji wa pili

Read More...

Shambulio la kisu Paris: Mshukiwa ni mzaliwa wa Chechnya’.

Mshukiwa wa shambulio baya la kisu katikati mwa mji mkuu wa Ufaransa, Paris siku ya Jumamosi jioni, alizaliwa mwaka

Read More...

Trump kukutana na Kim Jong-un Singapore, Juni 12.

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba atakutana na kiongozi wa korea kaskazini Kim Jong-un Singapore Juni 12. Bwana Trump

Read More...

Kenya yazindua satelite leo.

Kenya inajiandaa kutimiza ndoto kubwa ya kisayansi leo Ijumaa. Chombo cha Satelaiti kilichoundwa nchini humo kitarushwa katika anga za

Read More...

EBOLA yau 17 DRC.

Watu 17 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ugonjwa wa Ebola. Visa 21 vya homa

Read More...

Kiongozi wa juu China ahukumiwa kifungo cha maisha.

Leo May 8 aliyewahi kuwa Kiongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunisti nchini China na kuwahi kugombea nafasi kubwa za uongozi serikalini, amehukumiwa kifungo cha maisha

Read More...

Mobile Sliding Menu