Category: Kimataifa

Tovuti rasmi ya rais wa Ukraine Petro Poroshenko yashambuliwa na wahalifu wa mtandao.

Tovuti rasmi ya rais wa Ukraine Petro Poroshenko imeshambuliwa na wahalifu wa mtandaoni kutoka Urusi, mamlaka yake imesema,mwanahabari wetu

Read More...

Serikali ya Syria yakanusha vikali madai kuwa iliwachoma maelfu ya wafungwa kwa tanuri.

Duru mpya ya mazungumzo ya kutafuta amani Syria ilianza jana mjini Geneva huku serikali ya Syria ikanusha vikali madai

Read More...

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Harley ameapa kuyataja mataifa yanaounga mkono Korea Kaskazini na mpango wake wa kinyuklia huku hali ya wasiwasi ikiendelea.

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Harley ameapa kuyataja mataifa yanaounga mkono Korea Kaskazini na mpango wake

Read More...

Ripoti mpya imeonyesha kuwa nchi za Caribbean ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza, kwa kuwa na uhalifu mkubwa duniani.

Ripoti mpya imeonyesha kuwa nchi za Caribbean ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza, kwa kuwa na uhalifu mkubwa duniani. Benki

Read More...

Rais wa Uganda Yoweri Mueveni amevitaka vikosi vya usalama kuwacha kuwatesa wahalifu ikiwa wamekuwa wakifanya hivyo.

Rais wa Uganda Yoweri Mueveni amevitaka vikosi vya usalama kuwacha kuwatesa wahalifu ikiwa wamekuwa wakifanya hivyo. Kwa njia ya

Read More...

Mobile Sliding Menu