Category: Kitaifa

CCM yaomboleza kifo cha Mbunge Gama.

Chama Cha Mapinduzi, kimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekwa Mbunge wa Songea Mjini kwa tiketi ya chama

Read More...

Masha,Msando na Patrobas Wajiunga CCM.

Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Lawrence Masha ameomba kupokelewa katika chama alichokiama wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2015 ambacho ni

Read More...

Nyalandu Ngoma nzito.

Kashfa zinazomkabili  aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu zimetua mikononi mwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na

Read More...

BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa zamani wa (TIB) afikishwa Mahakamani.

Mahakama ya Juu Kenya yaidhinisha ushindi wa wa Kenyata Siri yafichuka zimbabwe, huenda Makamu wa rais aliyefutwa akaongoza Taifa

Read More...

Wanasiasa wanaokwamisha upigaji chapa wa Mifugo kuchukuliwa hatua kali Simanjiro.

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara mhandisi Zephania Chaula amesema atawachukulia hatua kali za kisheria wanasiasa watakaokwamisha zoezi

Read More...

Wauzaji wa vifaa vya ujenzi Mirereni waombwa kupunguza bei.

Naibu Waziri wa Madini Ladslaus Nyongo amewataka wauzaji wa vifaa vya ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya

Read More...

Waziri Nchemba atunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) UDSM.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba jana Novemba 18, 2017 ameweka historia nyingine katika maisha

Read More...

Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Lowassa.

Polisi Mkoa wa Kilimanjaro wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi kumwezesha mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Read More...

Waziri Mkuu Canada Aijibu Serikali ya Tanzania Sakata la Bombardier Kuzuiliwa.

Wakati katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akiwa nchini Canada kushughulikia suala la ndege ya Bombardier,

Read More...

Mbowe awataka viongozi wa dini kupaza sauti.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amewataka viongozi wa dini kupaza sauti kukemea maovu ili kuiokoa nchi katika kilio. Mbowe 

Read More...

Mobile Sliding Menu