Category: Kitaifa

Wazazi watakiwa kuwekeza kwenye Elimu.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi Ana Mgwira, amewataka Wazazi kuwekeza katika Elimu kwa kutoa michango itakayowezesha Shule kujengwa. Amesema

Read More...

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine.

Leo January 8 kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam Rais Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya mawaziri, lengo likiwa ni

Read More...

Waziri  Mkuu apokea maandamano ya wafanyakazi wakimpongeza Rais.

Waziri  Mkuu apokea maandamano ya wafanyakazi wakimpongeza Rais SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Na limeyataka makundi ya wanasiasa

Read More...

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa azitaka kampuni zinazosambaza nguzo za umeme kulipa ushuru.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  amesema kampuni zote zinazosambaza nguzo za umeme zinatakiwa  Kulipa ushuru wa halmashauri, wanakotoa nguzo hizo

Read More...

CHADEMA wapinga muswada uliopelekwa Bungeni.

Baraza la Wazee la Chadema leo Januari 07, wamezungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na Sakata la Muswada wa

Read More...

CAG na Mdee kuhojiwa kwa kulidhalilisha Bunge.

Spika wa Bunge Job Ndugai amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Assad kufika mbele

Read More...

Breaking News:Mama Regina Lowassa afiwa na Mdogo wake.

Ndugu Isaac zumba wa ngarenaro, Arusha. Anatangaza kifo cha Mke wake Amabilis zumba ambaye ni Mdogo wake na Mama

Read More...

Mobile Sliding Menu