Category: Kitaifa

Manji achiwa huru.

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,leo imeamuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi. Manji ameachiwa huru baada ya

Read More...

Spika Ngugai amjibu Godbless Lema.

    Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai, ametoa ufafanuzi juu ya kauli ya mbunge Godbless

Read More...

Yanga yaendelea kujifua Njombe.

  Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Chai Chai mjini njombe, kabla ya kuikabili Majimaji mwishoni mwa wiki. Jana

Read More...

Rais amjulia hali Meja Mstaafu aliyejeruhiwa kwa risasi.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli, leo ametembelea hospitali ya Jeshi la Ulinzi la

Read More...

CHADEMA wazungumzia hali Lissu kwa sasa.

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissi kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani

Read More...

LHRC yatoa tamko la kuhusu hali ya usalama nchini.

Kituo cha sheria na haki za Binadamu pamoja na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu, wamekutana na waandishi

Read More...

Lwandamina: Uwanja Mbaya Na Hali Ya Hewa Ya Baridi Kali Ilitutesa Sana.

Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina amesema kwamba timu yake ilishinda kucheza vizuri jana dhidi ya wenyeji, Njombe Mji

Read More...

Familia yasusa mazishi ya mteka watoto Arusha.

  Familia ya marehemu Samson Petro imefunguka na kusema haitofanya matanga wala kuufuata mwili wa marehemu kutokana na kitendo cha ukatili

Read More...

Serikali yatoa kauli juu ya thamani ya Shilingi.

  Bunge limeelezwa kuwa kushuka au kupanda kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania, hakutokani na kuruhusu bidhaa na huduma kutozwa

Read More...

ADC walaani kushambuliwa kwa Lissu.

Chama cha Allience for Democratic Change ADC, kimelaani kushambuliwa kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu

Read More...

Mobile Sliding Menu