Category: Michezo

Rio Ferdinand kujiunga na ndondi baada ya kustaafu.

Rio Ferdinand anazindua taaluma yake mpya kama mwanandondi miaka miwili baada ya kustaafu kutoka soka. Hatua ya Rio mwenye

Read More...

Mlinda mlango Goran Lenac apigwa risasi.

  Mlinda mlango Goran Lenac ambaye alikuwa akikipiga katika klabu ya Fc Bolekj inayoshiriki katika ligi kuu nchini Montenegro

Read More...

Fury aomba hukumu ya kufungiwa ndondi kuondolewa.

Bondia wa zamani wa uzito wa juu duniani Tyson Fury ameomba kuondolewa adhabu ya kutoshiriki mchezo huo ikiwa ni

Read More...

Hamilton ashinda michuano ya Singapore Grand Prix.

Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda michuano ya Singapore Grand Prix mbele ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel. Licha ya kushinda,Hamilton

Read More...

Upelelezi kesi ya Aveva, Kaburu umekamilika.

Upelelezi wa awali katika kesi ya utakatishaji fesha inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ umekamilika katika Mahakama

Read More...

Pogba kukaa nje wiki sita.

  Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba huenda akakaa nje ya uwanja kwa kati ya mwezi mmoja

Read More...

Mkataba wa Kocha ‘Kinnah Phiri’ na Mbeya City haujavunjwa.

  Klabu ya Mbeya City FC Jana September 13 mwaka huu ilifikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha

Read More...

Ligi ya mabingwa Ulaya kutimua vumbi.

  Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea msimu wa 2017/18, huku vigogo wote wakishuka uwanjani leo na kesho. Beki wa

Read More...

Yanga yaendelea kujifua Njombe.

  Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Chai Chai mjini njombe, kabla ya kuikabili Majimaji mwishoni mwa

Read More...

Man City yaicharaza Liverpool 5-0.

Manchester City ime uraruwa ulinzi hafifu wa Liverpool na kunyakua ushindi mkubwa dhidi ya wageni wake wa kikosi cha

Read More...

Mobile Sliding Menu