Michuano ya kombe la dunia katika awamu ya mtoano inaendelea leo, kwa pambano kati ya brazil na Mexico jioni
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameipongeza timu ya taifa hilo kwa kupata ushindi dhidi ya Hispania na kujihakikishia kusonga
Timu 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora ni England, Ubelgiji, Argentina, Colombia, Japan, Croatia, Hispania, Ureno, Brazil, Switzerland, Mexico,
Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku anatarajiwa kuikosa mechi muhimu katika Kombe la Dunia dhidi ya England Alhamisi. Mechi hiyo itakayochezewa
Fuatilia HAPA LIVE Kila Kitu Kinachoendelea Kombe la Dunia Nchini Urusi Keyword: MP=Matches Played W=Matches Won D=Draws L=Matches Lost P=Points
Timu ya taifa ya Uingereza imeibuka na udhindi wa goli 2-1 dhidi ya Tunisia. Harry Kane wa Uingereza ndiye aliyepeleka
Ubelgiji jana imeshinda kwa mabao 3-0 huku mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku akipiga bao mbili. Ubelgiji iliitwanga Panama kwa
Sweden imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Korea Kusini katika mechi ya Kundi H hatua ya makundi
Fainali za Kombe la Dunia 2018 zilianza rasmini June 14 nchini Urusi ambapo Saud Arabia walitandikwa bao 5-0. Tazama hapa
Michuano ya kombe la Dunia kwa mwaka huu 2018 inatarajia kuanza kutimua vumbi hii leo Juni 14 nchini Urusi