Category: Michezo

Wamiliki wa klabu ya Leicester City washtakiwa.

Wamiliki wa klabu ya Leicester City nchini Uingereza wamedaiwa kushtakiwa kwa umiliki wa £323m zinazodaiwa na serikali ya Thai.

Read More...

Yahaya kutimkia kwao usiku wa Leo.

Yahaya Mohamed kuondoka rasmi usiku wa leo kwa flyrwndair kurejea kwao ghana baada ya kuachana na Azam fc Nafasi

Read More...

Mike Tyson azuiliwa kuingia nchini Chile.

Bingwa wa uzani mzito duniani Mike Tyson amezuiliwa kuhudhuria sherehe ya kupeana tuzo mjini Santiago, Chile. Lakini raia huyo

Read More...

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 08.11.2017.

Meneja wa wa Atletico Madrid, Diego Simeone, ndiye lengo kuu la mmiliki wa Everton, Farhad Moshiri kuwa meneja mpya

Read More...

Simbu hayupo michezo ya Madola.

Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC, imemuengua mwanariadha Alphonce Simbu katika kikosi cha timu ya Taifa cha Riadha kinachojiandaa na

Read More...

Mbwana Samatta kuikosa Benin.

Wakati shirikisho la soka nchini TFF likiendelea kutangaza kuwa na uhakika wa kumtumia mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk

Read More...

Deontay Wilder: Anthony Joshua haniwezi.

Bingwa wa ndondi katika uzani wa WBC Deontay Wilder anasema kuwa atampiga Anthony Joshua nyumbani kwake Uingereza. Wilder mwenye

Read More...

Wachezaji wa Marekani wakamatwa kwa wizi China.

wachezaji watatu wa mpira wa vikapu wa ligi ya vyuo nchini Marekani wamekamatwa nchini China kwa wizi wa dukani

Read More...

Ligi Kuu England: Kwa nini itakuwa vigumu kuwafikia Manchester City.

Manchester city wameshinda michezo 15 mfululizo kwenye mashindano yote msimu huu, wakiongoza ligi ya Uingereza kwa alama nane. City

Read More...

Wenger awatupia lawama waamuzi Uingereza.

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ametoa lawama kwa waamuzi kwa kusema viwango vya usimamizi wa mechi katika

Read More...

Mobile Sliding Menu