Category: Michezo

Chelsea yakiona cha moto ndani ya Stadio Olimpico.

Chelsea wakicheza ugenini katika uwanja wa Stadio Olimpico, wamepokea kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa wababe wa Italia As

Read More...

Wageni wa La Liga waishangaza Real Madrid.

Klabu ya Ginora ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani wa Municipal de Montilivi, iliwaangushia kipigo cha mabao 2-1 Real

Read More...

Ronaldo anyakua tuzo kwa mara nyingine tena.

Kwa mara ya pili Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya The Best Fifa awards baada ya kupata 43% ya kura

Read More...

CHAVITA:Viziwi tunaweza tushirikishwe.

Chama cha viziwi Chavita wamefanya Bonanza la Michezo katika kata ya Sombetini Arusha kwa kucheza mpira wa miguu na

Read More...

Rabah Madjer abebeshwa zigo AFCON 2019.

Shirikisho la soka nchini Algeria limemtangaza mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya nchi hiyo Rabah Madjer, kuwa

Read More...

Rafa Benitez akataa kurithi mikoba Goodison Park.

Rafa Benitez amekataa ofa ya kujiunga na klabu ya Everton, ambayo inatajwa kuwa mbioni kumtimua kazi meneja wao wa

Read More...

Antonio Conte na Jose Mourinho watupiana vijembe.

Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte, amemwambia kocha wa Manchester United Jose Mourinho kwamba aangalie timu yake na

Read More...

Messi afunga bao la 100 Barcelona ikiilaza Olympiakos.

Lionel Messi alifunga bao lake la 100 katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, wakati Barcelona ikiibuka na ushindi

Read More...

Lukaku alinipiga teke usoni kwa makusudi…

Beki wa Liverpool Dejan Lovren amemshutumu mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku kwa kumpiga teke usoni kwa makusudi katika

Read More...

Yanga, wajipanga kuimaliza Stand United.

Kambi ya mabingwa watetezi Yanga mjini Tabora iko vizuri na wanachotaka ni kumalizia kazi ya kuondoka na pointi sita

Read More...

Mobile Sliding Menu