Category: Michezo

Picha: Fàbregas alivyofurahi kukutana tena na Messi na Suarez.

Mchezo wa Chelsea na Barcelona uliochezwa jana usiku katika ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya (Uefa), uliwakutanisha wachezaji ambao

Read More...

Messi aiokoa Barcelona Uingereza, Avunja rekodi yake mbovu dhidi ya Chelsea.

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi jana usiku amefanikiwa kuiokoa klabu yake kutoka kwenye kipigo kwa kuisawazishia goli

Read More...

Sikutamani kukutana na Chelsea – Valverde.

Kocha mkuu wa Barcelona, Ernesto Valverde amesema kuwa alitamani timu ya Chelsea ingeshinda katika kundi lake na kuongoza ili

Read More...

Klabu ya ligi daraja la kwanza yaitoa Man City michuano ya FA.

Klabu  ya Wigan Athletic hapo jana ilizima ndoto za vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City kutwaa mataji

Read More...

Mtoto wa Didier Drogba apata shavu ligi kuu ya Ufaransa.

Klabu ya soka ya En Avant de Guingamp ambayo inashiriki ligi kuu ya Ufaransa, imetangaza kumsajili mchezaji Isaac Drogba

Read More...

Sanchez ashindwa kuibeba Man united, Chelsea wapokea kichapo.

Klabu ya Manchester United usiku wa kuamkia Leo Alhamisi imepoteza mchezo wake wa kwanza wa EPL dhidi ya Spurs

Read More...

Kocha Mpya Simba atambulishwa.

Klabu ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, leo mchana imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Raia wa

Read More...

Yanga Out Mapinduzi Cup.

Ikiwa ndiyo siku ya kwanza anaichezea Yanga katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, mshambuliaji Obrey Chirwa amekosa penalti ya

Read More...

Ousmane Dembele: Mchezaji ghali zaidi Barcelona atarajiwa kurejea.

Mchezaji aliyenunuliwa pesa nyingi zaidi na Barcelona Ousmane Dembele huenda akarejea kucheza wiki hii baada ya kukaa nje ya

Read More...

Tetesi za soka Ulaya Disemba 20,2017.

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anapanga kutoa rekodi ya dau la Uingereza la £90m kumnunua mchezaji wa Chelsea

Read More...

Mobile Sliding Menu