Category: Siasa

Manji adai kuwa bado yeye ni Diwani halali.

  Mfanyabiashara Yusuf Manji ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kuwa, yeye bado ni Diwani wa Kata ya

Read More...

Chadema wazungumza baada ya Lissu Kushambuliwa.

  Katibu Mkuu wa Chadema Doctor Vincent Mashinji, amesema kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Tundu Lissu

Read More...

Spika aeleza jinsi Lissu alivyoshambuliwa.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kuwa, mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, alishambuliwa

Read More...

Kenyatta asema ni haki yake kuikosoa mahakama.

  Rais Uhuru Kenyatta ametetea hatua yake ya kuikosoa mahakama ya juu na jaji mkuu David Maraga, kwa kubatilisha

Read More...

Tatizo la nguvu za kiume zatinga bunge.

  Sakata la upungufu wa nguvu za kiume ambalo limekuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya wanaume nchini, limeibua sintofahamu

Read More...

Odinga apinga tarehe mpya ya uchaguzi Kenya.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini

Read More...

Rais aombwa kutazama upya swala la wanafunzi wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni.

Wengi mtakuwa mnakumbuka tamko la mheshimiwa Rais wa Jamuhuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, alilolitoa akiwa ziarani

Read More...

Wabunge wa UKAWA wasusia Bunge.

Wabunge wa Upinzania Bungeni wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA waligoma kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati

Read More...

Waziri Mkuu kukabidhiwa taarifa mbili za kamati za madini.

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, kesho anatarajiwa kukabidhiwa taarifa za kamati mbili zilizoundwa na Bunge katika Mkutano wa Saba wa

Read More...

Polisi Rwanda wakanusha kumzuia mwanamke aliyetaka kuwania Urais.

Polisi nchini Rwanda wamekanusha kwamba wanamzuilia mwanamke aliyetaka kuwania urais katika uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu. Taarifa zilikuwa zimeenea

Read More...

Mobile Sliding Menu