Category: Siasa

Diwani atoa siri nzito kuhusu madiwani waliojizulu.

Diwani Viti Maalum Digna John Nasari amesema kuwa anawashangaa Madiwani wanaoachia Nafasi zao,na kisha kuomba ridhaa tena kwa kuwa

Read More...

Kenyata asema hana masharti kwa IEBC.

Jana Rais Uhuru Kenyatta amekutana na mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini humo IEBC, huku uchaguzi wa

Read More...

Mwigamba na wenzake wajiunga na CCM.

Baadhi viongozi waliokuwa katika Chama cha ACT-Wazalendo wakiongozwa na Samson Mwigamba, leo wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho na

Read More...

Uchaguzi Liberia kuelekea duru ya pili.

Nyota wa zamani wa soka George Weah na makamu wa rais Joseph Boake, wanaelekea duru ya pili ya uchaguzi

Read More...

Uchaguzi wa kenya wakumbwa na sintofahamuu.

Nchini Kenya mjadala unaendelea kufuatia kiongozi wa upinzani Raila Odinga kujiondoa, katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika

Read More...

JPM awaapisha mawaziri wapya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, leo amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Waziri 21

Read More...

Kim Jong-un ampandisha cheo dada yake mdogo

  Haki Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, amempandisha cheo dada yake mdogo, na kumpa madaraka zaidi katika chama tawala

Read More...

CHADEMA wazungumzia hali Lissu kwa sasa.

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissi kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani

Read More...

ADC walaani kushambuliwa kwa Lissu.

Chama cha Allience for Democratic Change ADC, kimelaani kushambuliwa kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu

Read More...

Korea Kaskazini imeonya kuwa itasababisha maumivu na mateso makubwa kwa Marekani, ambayo hayajawahi kushuhudiwa.

Korea Kaskazini imeonya kuwa itasababisha maumivu na mateso makubwa kwa Marekani, ambayo hayajawahi kushuhudiwa. Imetoa angalizo hilo kama utawala wa

Read More...

Mobile Sliding Menu