Category: Siasa

Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika

Read More...

Hamad Masauni achukua fomu Urais Zanzibar.

Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Unguja, Hamadi Yusuf Masauni

Read More...

Babalevo kuminyana na Zitto Ubunge

Msanii Babalevo ambaye ni diwani aliyemaliza muda wake katika kata ya Mwanga Kaskazini Manispaa ya Kigoma Ujiji kupitia chama

Read More...

Maalimu Seif asema Taifa halina umoja.

Mwenyekiti wa chama ca ACT Wazalendo Maalim Seif amezungumza na waansishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa

Read More...

Madiwani 11 wa CHADEMA pamoja na Meya wajiuzulu

Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri  ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo

Read More...

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji Ahamia CCM

Leo Jumanne Februari 18, 2020 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kuhamia

Read More...

Trump aalikwa kuhudhuria kikao cha tuhuma zinazomkabili.

Bunge la Congress nchini Marekani limemualika rais wa nchi hiyo Donald Trump katika kikao chake kitakachosikiliza tuhumazinazomkabili rais huyo

Read More...

MUSEVENI AMEYANANGA MAKUNDI YA SIASA KUHUSU UMASIKINI

RAIS Yoweri Museveni ameyaambia makundi ya kisiasa nchini Uganda kuwa umasikini ni janga kubwa nchini humo ambalo linapaswa kupigwa

Read More...

Meya wa Arusha atimkia ccm

Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha kwa tiketi ya (CHADEMA) Kalisti Lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho

Read More...

Wagombea walioenguliwa waruhusiwa kushiriki Uchaguzi

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa

Read More...

Mobile Sliding Menu