Category: Uchumi

Kilichofanyika jana katika Maduka ya kubadilishia fedha Jijini Arusha ni Oparesheni ya Kawaida tu.

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa taarifa kuhusu oparesheni ya kushtukiza ya kukagua maduka ya ubadilishaji fedha na baadhi

Read More...

BOT yaziunganisha Benki za Twiga na TPB.

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeziunganisha Benki za Twiga na TPB na kuwa benki moja kwa malengo ya kuongeza

Read More...

Benki Kuu yapunguza riba kwa mabenki ya baishara, ni neema kwa watanzania wa chini

Benki kuu Tanzania imepunguza kiwango cha riba kwa mabenki ya biashara kufikia asilimia 11. Hatua hiyo inadaiwa itawezesha mabenki

Read More...

Rais Magufuli awaonyesha njia Wafanyabiashara.

Rais John Magufuli amewatajia  wafanyabishara nchini mambo mawili muhimu akiwataka kutumia fursa za masoko ya ndani ili kukuza ajira

Read More...

DSE yafafanua kupungua kwa mauzo ya hisa.

Kufuatia baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii kuhusisha upunguaji wa mauzo ya Soko la Hisa la Dar es

Read More...

Benki ya Dunia yampongeza JPM.

Mkurugenzi wa Uchumi Mpana, Biashara na Uwekezaji wa Benki ya Dunia, Dkt. Felipe Jaramilo, ameipongeza Serikali ya awamu ya

Read More...

Uchumi wa Viwanda Dodoma yapiga hatua.

Mkoa wa Dodoma umefanikiwa kujenga viwanda 892 vingi kati ya hivyo vikiwa ni Vidogo na vya Kati ambavyo vinachochea

Read More...

Sekta binafsi yaridhishwa na uhusiano wake na Serikali.

Sekta Binafsi nchini imekiri kuwa uhusiano kati yake na Serikali umezidi kuimarika kutokana na kuboreshwa kwa mazingira ya uwekezaji

Read More...

IMF yaionya Tanzania juu ya kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi.

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ijumaa hii limeonya kuhusu kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania,

Read More...

Uchumi wa Zanzibar waimarika, Shein atangaza Elimu bure.

Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo Januari 12, 2018 katika Uwanja wa Amani, Visiwani Zanzibar, ambapo

Read More...

Mobile Sliding Menu