CHADEMA Kanda ya Kaskazini wasaini Hati ya Mashirikiano na CHADEMA Diaspora.

In Kitaifa, Siasa

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini kimesaini hati ya mashirikiano na Chama cha Demokrasia na Maendeleo- DIASPORA-WASHNGTON SEATTLE lengo likiwa ni kujenga uwelewa kuhusiana na mambo uwamiaji na kujua fursa mbalimbali zilizopo ndani ya Afrika.


Akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha leo Katibu wa chama cha Demokrasiana Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Amani Golugwa amesema Chama hicho kimesaini hati ya ushirikiano ili kupata fursa za biashara na masoko.

Kwa upande wake kiongozi wa Chama cha deokrasia na Maendeleo Diaspora-Washngton Seattle nchini Marekani Bwana Pascal Kikuji amesema wamesaini mashirikiano 5 ambayo ni siasa na jamii, uwenezi wa Chama, kusambaza taarifa kwa wakati, na haki za binadamu

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

PICHA:Rais Magufuli akitoa salamu za pole familia ya Kikwete

Kufuatia kifo cha Rashid Mkwachu ambaye ni Baba mzazi wa mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, mama Salma

Read More...

Lugola awapa maagizo wakuu wa majeshi, Wafungwa watumie nguvu zao kujitaftia chakula.

Waziri wa mambo ya Ndani, Kangi Lugola mapema leo hii ameongea na vyombo vya habari akiwasilisha maagizo mbalimbali ambayo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu