CHADEMA wapinga muswada uliopelekwa Bungeni.

In Kitaifa, Siasa

Baraza la Wazee la Chadema leo Januari 07, wamezungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na Sakata la Muswada wa Vyama vya Siasa kupelekwa Bungeni ambapo wameendelea kushikilia msimamo wao wa kupinga suala hilo.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Baraza la wazee la Chadema Hashim Juma na kudai kama endapo wabunge wa CCM ambao idadi yao ni kubwa wakapitisha muswada huo kutakuwa ni uvunjifu wa katiba kwani vyama vya upinzani vipo kwa ajili yakukosoa na kujenga Serikali iliyopo madarakani kwa lengo la kufikia maendeleo na mafanikio ndani ya nchi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Majeshi ya Marekani yauwa raia Somalia

Majeshi ya Marekani yanayoendesha mashambulizi ya angani nchini Somalia dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabab nchini humo

Read More...

Idai yapoteza makazi ya watu 400,000.

Shirika la Msalaba Mwekundu linakadiria kuwa watu 400,000 wamepoteza makaazi yao nchini Msumbiji kutokana na Kimbunga Idai kilichoipiga nchi

Read More...

Baa la njaa kuikumba Kenya.

Zaidi ya watu milioni 1.5 nchini Kenya wako katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kufuatia kutokuwepo kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu