Chelsea yamuongezea mkataba Olivier Giroud.

In Michezo

Klabu ya Chelsea, imemuongeza mkataba mshambuliaji wao Olivier Giroud.
.
.
Mshambuliaji huyo hapo awali mkataba wake katika klabu ya Chelsea, ulikuwa unafikia tamati mwezi wa saba mwaka huu.
.
.
Giroud, ameongeza mkataba wa mwaka moja ndani ya klabu hiyo na kumfanya abaki mpaka mwaka 2020.
.
.
Nyota huyo tayari ndani ya msimu huu ameifungia Chelsea jumla ya mabao 10 katika michuano yote.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu