CHINA: WATU 12 WAMEFARIKI NA 134 KUJERUHIWA KATIKA TETEMEKO LA ARDHI.

In Kimataifa



Taratibu za uokoaji zinaendelea huko Sichuani Kusini Magharibi mwa China baada ya kutokea tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6 Kipimo cha Richa, jana usiku

Baada ya tetemeko hilo, usiku huo huo kulitokea tetemeko jingine lenye ukubwa wa 5.1 Kipimo cha Richa na asubuhi ya leo limetokea tena ingawa halikuwa kubwa

Kwa mujibu wa Wizara ya Kupambana na Majanga ya Dharura imesema majengo 73 yameharibiwa ikiwemo hospitali katika Kaunti ya Changning na wagonjwa wamehamishiwa hospitali nyingine

Aidha, Waokoaji wamefanikiwa kuokoa watu 8 asubuhi ya leo waliokuwa wamenasa kwenye vifusi vya majengo yaliyoanguka

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu