Chris Brown kurudisha penzi kwa Rihanna.

In Kimataifa, Mahusiano

Mwaka 2005 staa wa muziki kutokea Marekani Chris Brown pamoja na Rihanna ambao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi mpaka pale walipoachana mwaka 2009 kutokana na tuhuma za Chris Brown kumpiga Rihanna.

Ila mwaka 2013 tetesi ziliendelea kuwa wawili hawa walionekana kurudisha penzi lao  ila kwa upande wao hawakusema chochote ambapo hadi sasa kila mtu anaendelea na maisha yake.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Chris Brown ameonyesha penzi kwa Rihanna baada ya miaka mingi kupita ambapo amemtakia heri ya siku ya kuzaliwa.

“HAPPY BIRTHDAY @badgalriri “

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Majeshi ya Marekani yauwa raia Somalia

Majeshi ya Marekani yanayoendesha mashambulizi ya angani nchini Somalia dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabab nchini humo

Read More...

Idai yapoteza makazi ya watu 400,000.

Shirika la Msalaba Mwekundu linakadiria kuwa watu 400,000 wamepoteza makaazi yao nchini Msumbiji kutokana na Kimbunga Idai kilichoipiga nchi

Read More...

Baa la njaa kuikumba Kenya.

Zaidi ya watu milioni 1.5 nchini Kenya wako katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kufuatia kutokuwepo kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu