Dereva wa Isabela,mtandao wote hawana Corona

In Afya


Mkurugenzi msaidizi kitengo cha ufuatiliaji wa Magonjwa ya
mlipuko Dkt Janeth Mghamba,ameeleza kuwa dereva aliyekuwa
amembeba muathika wa kwanza wa Corona nchini Bi Isabella
Mwampamba,vipimo vimeonyesha hana virusi vya Corona.
Mbali na dereva huyo pia Dkt Janeth Mghamba amesema kuwa,
wale wote walikuwa katika mtandao uliomhusisha Dereva huyo
pia hawajapatikana na ugonjwa huo.

Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
amesema kuwa mkoa wa Arusha ni Shwari na dereva taxi aliyembeba Mgonjwa wa Kwanza wa Korona amekutwa hana Maambukizi ya Virusi vya Corona

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu