Diwani wa CHADEMA apata dhamana akiwa magereza.

In Kitaifa

Kaimu Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha na Diwani wa Kata ya Kikatiti Elisa Mungure amepata dhamana muda huu kutoka mahabusu ya gereza la Kisongo baada ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo kuandika “Removal Order” ili aweze kutolewa Mahabusu.

Siku ya Jana Mungure alipelekwa Magereza baada Masharti ya dhamana yaliyokuwa yakimtaka adhaminiwe na mtumishi wa serikali kushindikana.

Kesi ya Mungure itatajwa tena tarehe 17 Desemba 2018 kwenye mahakama ya mwanzo – King’ori.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Kitambulisho cha Vladimir Putin cha ujasusi chapatikana Ujerumani.

Kitambulisho cha Vladimir Putin alichopewa kama jasusi Ujerumani alipokuwa anafanya kazi kama jasusi wa Urusi kimepatikana katika makavazi mjini

Read More...

May aairisha kura kuhusu Brexit.

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ameahirisha kura iliyokuwa ifanyike leo bungeni kuhusu makubaliano ambayo serikali yake na Umoja

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu