DJARAFAT AFARIKI DUNIA HUKO ABIDJAN

In Burudani

Mwanamuziki Maarufu wa Nchini Ivory Coast, Dj Arafat amefariki Dunia leo Agosti 12, 2019) huko Abidjan.

Imeripotiwa kuwa Dj Arafat alipata ajali ya kugongana na gari wakati anaendesha pikipiki asubuhi ya leo, Aliwahishwa hospitali ya Abidjan ambapo alifariki dunia.

Mwana Muziki huyo wa miondoko ya francophone, atakumbukwa enzi za uhai wake aliachia Album 11 na Hits nyingi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu