Dogo Janja atoa onyo kwa wanaomnyemelea Mkewe Irene Uwoya.

In Burudani, Kitaifa

Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janja ameonyesha ni kwa kiasi gani anampenda mkewe, Irene Uwoya.

Hitmaker huyo wa ngoma ‘Ngarenaro’ ameonyesha kutopenda mtu yeyote mwenye nia mbaya kuwa karibu na mke wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dogo Janja ameandika;

Ni bora umwage damu mbele ya adui yako kuliko kumwaga chozi… #MyBeautifulWife#AtadondokaMtu#MazoeaNaMkeWangu😏

Dogo Janja na Irene Uwoya waliripotiwa kufunga ndoa November 25, 2017, hata hivyo ni vigumu kutaja tarehe kamili kutokana na namna walivyoliweka suala hilo hasa kwa upande wa vyombo vya habari na mitandao.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Jaji Mutungi avitahadharisha vyama vya siasa.

Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kutekeleza majukumu yao ya kisiasa kwa kufuata na kuzingatia sheria na kanuni za vyama

Read More...

Bangi sasa ruksa Canada.

Canada imepitisha sheria rasmi kwa nchi nzima inayoruhusu matumizi ya bangi hadharani tofauti na hapo awali ambapo iliwabidi wananchi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu