EBOLA yau 17 DRC.

In Kimataifa

Watu 17 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ugonjwa wa Ebola.

Visa 21 vya homa na kutokwa na damu, pamoja na vifo 17 vimeripotiwa katika jimbo la Equateur.

Hii ni mara ya tisa kwa maradhi hayo kutokea nchini Congo tangu mwaka wa 1976, wakati kulipogundulika kwa mara ya kwanza virusi vya ugonjwa huo.

Shirika la afya ulimwenguni, WHO, limesema mjini Geneva kwamba, vipimo vya maabara vimethibitisha uwepo wa virusi vya Ebola katika sampuli mbili kati ya tano za wagonjwa. Limesema tayari limepeleka kiasi cha dola Milioni 1, kutoka mfuko wa dharura na wataalamu zaidi ya 50 watakaoshirikiana na serikali na taasisi za afya, kukabiliana na ugonjwa huo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu