‘Expansion joint’ Ya Mabweni ya Chuo ya UDSM Yazibwa.

In Kitaifa
Wakala wa Majengo nchini (TBA) umefanya ukarabati wa majengo ya mabweni ya chuo kikuu cha Dar es salaam ambayo hivi karibuni yalionekana kuweka nyufa.
Vyombo vya habari vilivyofika kwenye eneo hilo vilikuta tayari mafundi wameshaweka plasta ili kuziba nyufa hizo, ambazo Mkurugenzi Mkuu wa TBA Elius Mwakalinga alisema zimesababishwa na ‘expansion joint’ ambayo ni kitu cha kawaida kwenye ujenzi.
Hivi karibuni kulisambaa picha za majengo zikionyesha kuwa na nyufa, huku yakiwa hayajamaliza mwaka tangu yakabidhiwe na kuanza kutumika na wanafunzi, kitendo kilichosababisha mpiga picha hizo ashikiliwe na polisi.
Picha zinazoonyesha nyufa hizo zikiwa zimezibwa

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu