Fred Lowassa afanya ziara Monduli

In Kitaifa

Mbunge wa jimbo la Monduli Fredrick Lowassa amefanya ziara fupi katika kata ya mto wa Mbu na kukagua mabomba ya maji yaliyowazilishwa siku za karibu kutoka serikali ambayo inatarajiwa kukarabati mradi wa maji katika vijiji vitatu.

Fredrick Lowassa amesema lengo la kufanya hivyo ni jitihada za kufanikisha kumtua mama ndoo kichwani lakini pia ni Kutimiza Ahadi yake ya kupeleka maji katika vijiji vyote na kusema ndani ya miaka miwili lengo lake ni kupunguza ukosefu wa maji kama sio kumaliza kwani nia inaonekana.

Sambamba na hayo Fredrick Lowassa amehudhuria katika kikao cha kamati ya siasa kata na kuwashukuru wajumbe hao kwa kishindo walichompa katika uchaguzi mkuu 2020 ikiwa ni siku yake ya kwanza kufika hapo tangu uchaguzi ulipomalizika.

Kwa upande wa mwenyekiti wa kijiji hicho Raymond Murwo amesema jumla ya mabomba zilizopokelewa ni Pisi 258 na vijiji vitatu vitakavyonufaika na mradi huo ni Esilalei, losirwa pamoja baraka.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hukumu ya Bernard Morrison kutolewa leo

Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na

Read More...

Kamanda wa AFRICOM azuru Tanzania akiangazia ushirikiano katika nyanja ya usalama

Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku

Read More...

TETESI ZA SOKA ULAYA

Paris St-Germain imeanza mazugumzo ya awali na Paul Pogba kuangalia kama anaweza kujiunga nao kutoka Manchester United msimu huu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu