Fuvu la binadamu wa kale kuonyeshwa kwa mara ya kwanza.

In Kitaifa

Fuvu la binadamu wa kale linalotarajiwa kuoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza tangu ligunduliwe kuongeza idadi ya watalii Ngorongoro.

Katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii Prof. Adolph Mkenda amesema kuwa fuvu la binadamu wa kale zinjanthropus linalotarajiwa kuoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza tangu ligunduliwe mwaka 1954 katika makumbusho ya Oldvai wiilayani Ngorongoro litatumika kuhamasisha utalii wa ndani na nje ili kuongeza idadi ya watalii kutokana kuwa kiwakilishi muhimu katika historia ya binadamu duniani.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu