Gabon imemkamata mwanasiasa wa Upinzani

In Kimataifa
Mamlaka nchini Gabon imemkamata na kumzuilia mwanasisa wa upinzani baada ya kumtishia maisha Rais Ali Bongo.
Roland Desire Aba’a Minko alikamatwa baada ya kutishia usalama wa taifa, kuchochea mapinduzi na kueneza habari zisizo za ukweli.
Mapema mwezi huu Bwana Aba’a Minko alitisha kulipua mali ya serikali ikiwa bwana Bongo angekataa kuondoka madarakani ndani ya miaka mitatu.
Alisema kuwa Jean Ping ambaye alitangazwa kushinda kwenye uchaguzi wa mwaka uliopita, ndiye kiongozi wa nchi hiyo.
Bwana Aba’a Minko alisimama kama mgombea huru kabla ya kujiondoa na kumuunga mkono Bwana Ping.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu