George Mkuchika Aaapishwa kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum.

In Kitaifa

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Kampeni Mstaafu George Mkuchika kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum.

Kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, Kampteni Mstaafu Mkuchika alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, nafasi inayoshikiliwa hivi sasa na Mohamed Mchengerwa.

Hafla ya kuapishwa kwa Kapteni Mstaafu Mkuchika imefanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, ambapo pia Makatibu Tawala wa mikoa walioteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan wameapishwa

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Ndugai Amtimua Bungeni Mbunge

Spika wa Bunge , Job Ndugai amemtimua bungeni mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuvaa suruali inayombana. Mbunge huyo

Read More...

Waziri wa Uganda apigwa risasi na watu wasiojulikana karibu na nyumba yake

Jenerali Katumba Wamala, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Uganda na Waziri wa sasa wa Ujenzi na Uchukuzi amepigwa

Read More...

Al-Assad ashinda uchaguzi kwa asilimia 95 kura

Rais wa Syria Bashar al-Assad ameshinda muhula wa nne madarakani kwa kupata asilimia 95.1 ya kura zote zilizopigwa.

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu