Hafla ya kutambulisha tuzo ya serengeti yafanyika.

In Kitaifa

Waziri wa maliasilai na utalii Mh Hamis Kigwangala leo ameshiriki katika zoezi la utambulishwaji wa Tuzo ya Mbuga ya Serengeti kuwa Hifadhi bora Afrika.

Katika zoezi hilo nchi mbalimbali zilishiriki kutoka mataifa mbalimbali, ambapo Serengeti imeibuka na ushindi huo.

Akizungumza katika hafla hiyo kamishna wa uhifadhi TANAPA Dkt Allan Kijazi, ametoa maelezo juu ya tuzo hiyo, ambayo hifadhi ya Serengeti imeitwaa tarehe 1 mwezi wa sita 2019.

Akizungumza katika hafla hiyo Waziri wa maliasilai na utalii Dkt Hamis Kigwala, amesema ushindi huo tulioupata uwe chachu ya kuitangaza zaidi hiafadhi ya Serengeti na zingine ili Serengeti iweze kuchukua duzo ya hifadhi bora duniani zitazofanyika mwezi December mwaka huu.

 

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu