Hamad Masauni achukua fomu Urais Zanzibar.

In Kitaifa, Siasa


Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi na Mbunge wa
Jimbo la Kikwajuni Unguja, Hamadi Yusuf Masauni
amajitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa
Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.


Mhandisi Masauni anakuwa mgombea wa 19 kufika katika ofisi
kuu za Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Mjini Unguja
kwa ajili ya kuchukua fomu hizo za kugombea nafasi ya Urais.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za soka Ulaya.

Inter Milan wanafikiria kumnunua kiungo wa kati, Mfaransa N'Golo Kante huku Blues wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili

Read More...

Manchester City kushiriki kombe la Ulaya.

Klabu ya Manchester imefanikiwa kubadili marufuku ya miaka miwili kushiriki katika mashindano ya klabu bingwa Ulaya kuanzia msimu

Read More...

Mama akiri kuua Watoto wake wanne.

Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu