HARMONIZE KATOA NENO

In Burudani, Kitaifa

“Nina wajibu Wa Kuwashukuru Sana waanzirishi Wa Muziki Huu Ambao Leo Umekuwa Ajira Kwetu Naku Saidia Familia Zetu Nyingi Za Kimaskini Lakini Pia Wadau Na Mashabiki …!!!!

Kwaku Pambana Mpaka Tasnia Ilipofikia Hapa ….!!!! Kiukweli Haikuwa Rahisi Lakini Pia Niseme Sanaa Yetu Imekuwa Kubwa Mataifa Kibao Wana fwata Tunacho Fanya ishara Tosha Kwamba Tunapiga Bao 🤙🤙 Ila Nika Kaujumbe Mfupi tuu Nadhani Ni Time Sasa Ya Kuutangaza Muziki Pamoja na Tanzania Mbali Zaidi Tumekuwa Tukiitangaza Rugha Yetu Pendwa Muda Mwingi Mno Na Kuifanya Imekuwa Rugha Maarufu Sana Africa …!!!

KISWAHILI But nadhani ni Wakati Muafaka Wa Kuutangaza Muziki Wetu Pamoja Na Nchi Yetu…!!!! Zaidi Na Njia Rahisi Ni Kuimba Muziki wa Kitanzania naku Shoot Video Tanzania Ila Wimbo Unaimba kwa Rugha Ambayo Dunia Nzima Inaelewa…..!!!!!!

Nayo ni (ENGLISH) Ndugu Wasanii Msiwe na Wasi Tuondoeni zile Zana Za Zamani Eti ukiiimba Kizungu Ngoma Haiwezi (HIT) Watanzania Wa Leo Sio Wajana Karibia Wote Wanatema (MAYAI) Mmeona Mifano Kama #BEDROOM #FALLINGINLOVE Hizi Zote ni (HIIIIT) Na Zimeimwa (ENGLISH) Japokuwa Ukitia Vineno Viwili Vitatu Vya Rugha Yetu Mama SIO MBAYA…..!!!! OK let’s Go KAKA ZANGU DADA ZANGU it’s time 4 Tanzania 🇹🇿 🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏃‍♀️🏃‍♀️”

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake 5 wafikishwa mahakamani kwa makosa matano ikiwemo

Read More...

George Mkuchika Aaapishwa kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum.

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Kampeni Mstaafu George Mkuchika kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum. Kabla ya

Read More...

Waziri wa Uganda ajeruhiwa na mwanae kufa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Watu wenye silaha wamemshambulia na kumjeruhi Waziri na Kamanda wa zamani wa jeshi la Uganda, na kumuua binti yake

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu