Harry Maguire kutimkia Man U,dau lake laweka rekodi

In Kimataifa

Harry Maguire aweka rekodi ya kuwa mlinzi mwenye thamani kubwa katika historia ya soka baada ya Manchester United kuafikiana na Leicester kumsajili kwa thamani ya £80milioni.
United italipa £60 milioni kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 – ambapo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo Jumatatu, na £20m za ziada zitalipwa siku zijazo.

Leicester inatarajiwa kuijaza nafasi ya Maguire kwa kumsajili mchezaji wa Brighton Lewis Dunk, baada ya kuafikiana kwa mkataba wa thamani ya £45m kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu