Hukumu ya Bernard Morrison kutolewa leo

In Kitaifa, Michezo

Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii.

Morrison anadai kuwa hajasaini mkataba wa kuongeza miaka miwili Yanga huku Yanga na wao wakidai mchezaji huyo ni mali yao.

Jaji Patrick Stewart kutoka Uingereza hii leo ataisikiliza kesi ya Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club dhidi ya mchezaji Bernard Morrison kabla ya kuitolea uamuzi.

Morrison kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram amewataka wafuasi wake kumuombea na waliomtakia kila lakheri ni pamoja na CEO Barbara Gonzalez.

Ujumbe wa Bernard Morrison kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram ”Even in the abundance of water , the fool will still be thirsty πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ. Wish me well today πŸ’ͺπŸΎπŸ™

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa

Read More...

Wanaharakati wa haki za binadamu wahoji hukumu dhidi ya Rusesabagina

 Makundi ya kutetea haki za binadamu barani Afrika yamelalamikia uamuzi wa mahakama kuu ya Rwanda ya kumfunga jela kwa miaka 25, Paul Rusesabagina ambaye alisifika sana kwenye filamu ya Hollywood ya Hotel Rwanda.  Mahakama hiyo Jumatatu ilisema kwamba imepata Rusesabagina pamoja na washukiwa wengine 20 na hatia ya

Read More...

LISSU NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifutia kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu