IGP Sirro ampongeza Mkuu wa Mkoa wa Lindi.

In Kitaifa

Mkuu wa jeshi la polisi hapa nchini IGP Simon Sirro, amempongeza mkuu wa mkoa wa Lindi Bwana Godfrey Zambi pamoja na kamati yake ya ulinzi na usalama,kutokana na mkoa huo kuwa salama na kutokuwepo na matukio ya uhalifu mara kwa mara.

IGP Sirro ameyasema hayo mkoani Lindi, mara baada ya kutembelea kambi ya kikosi cha kutuliza ghasia FFU pamoja na kutembelea eneo zitakapojengwa nyumba za makazi ya askari polisi.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu