ISIDINGO YAPATA PIGO

In Kimataifa

Mwigizaji wa Afrika Kusini, Lindiwe Ndlovu amefariki dunuia. Taarifa zinasema Lindiwe alikutwa na umauti nyumbani kwake Jumatatu ya wiki hii. Chanzo cha kifo chake hakijajulikana hadi sasa.

Lindiwe alicheza filamu na vipindi vingi vya runinga ikiwa ni pamoja na Lockdown, Isidingo, Zabalaza, Isono na Egoli. Aidha anafahamika kama mwigizaji aliyejituma na kuipenda sana kazi yake.

Aidha taarifa zimesema kuwa Lindiwe alisherehekea kumbukumbuku ya siku ya kuzaliwa, kwa kufikisha miaka 45 wiki iliyopita.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

RAIS MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI SILAYO

Rais Dk John Magufuli leo amezindua na kubadilisha jina Shamba la Miti Chato na kuliita Shamba la Miti

Read More...

Kenya kutumia Teknolojia ya Roboti kudhibiti Corona.

Wizara ya Afya nchini Kenya imezindua Teknolojia ya kutumia Roboti ili kupambana na janga la virusi vya Corona na

Read More...

Rais wa Ethiopia atua Chato kwa ziara ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la watu wa Ethiopia Sahle Work Zewde,amewasili nchini Tanzania tayari kufanya ziara

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu