Jerry Muro akabidhi kituo cha kisasa kwa ajili ya ukaguzi wa magari ya utali

In Kitaifa

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Cornel Muro amekabidhi kituo cha kisasa kwa ajili ya ukaguzi wa magari ya utalii pamoja na kituo cha kutolea taarifa za maeneo yenye vivutio vya utalii kwa mkoa wa Arusha na Tanzania

Kituo hicho ambacho kimejengwa katika eneo la kikatiti halmashauri ya Meru pembeni ya barabara kuu ya moshi arusha kwa jitihada za pamoja katika ya serikali ya mkoa wa Arusha chini ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo, akishirikiana na mkuu wa wilaya ya Arumeru na kudhaminiwa na jumuiya ya wadau wa sekta ya utalii TATO ambaoi sasa kituo hicho kimekamilika na kiko tayari kwa ajili ya kutumiwa .

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu