John Heche afikishwa Mahakamani na kuachiwa kwa dhamana.

In Kitaifa

Hatimaye Mbunge wa Tarime Vijijini(CHADEMA), John Heche leo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  na kuunganishwa kwenye kesi namba 112/2018 inayowakabili Viongozi wengine wa Chama  hicho,

Wakili wa serikali, Faraja Nchimbi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa wanaomba kumuunganisha Heche katika kesi inayowakabili wenzake ambapo yeye atakuwa mshtakiwa wa 8 ambapo amepewa kwa masharti ya dhamana kama watuhumiwa wengine.

John Heche  ameachiwa kwa masharti ya dhamana na anahitajika kuwasili  cha Polisi Central kila Ijumaa huku kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 16 Aprili mwaka huu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu