JPM aendelea na ziara yake

In Kitaifa

Leo October 16 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Pombe Magufuli ameendelea na ziara yake huku akiwa Mkoani Lindi katika wilaya ya Nachingwea akisikiliza kero za wananchi maeneo mbalimbali.

Akiwa Nachingwea Rais Magufuli amepata wasaa wa kusikiliza kero za wananchi na moja wapo ya kero zilizomkera Rais Magufuli ni juu ya uwajibikaji wa watendaji wake Mkoani Lindi likiwa suala la Stendi ndani ya Nachingwea.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za soka Ulaya.

Inter Milan wanafikiria kumnunua kiungo wa kati, Mfaransa N'Golo Kante huku Blues wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili

Read More...

Manchester City kushiriki kombe la Ulaya.

Klabu ya Manchester imefanikiwa kubadili marufuku ya miaka miwili kushiriki katika mashindano ya klabu bingwa Ulaya kuanzia msimu

Read More...

Mama akiri kuua Watoto wake wanne.

Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu