Rais John Magufuli amewatahadharisha viongozi mbalimbali
anaowateua lakini wamekuwa na ndoto za kutaka ubunge na
kufikiria watateuliwa kuwa mawaziri, Rais Magufuli amewataka
kuridhika na nafasi zao japokuwa wana haki kikatiba ya
kugombea kwenye siasa.