Juan Cuadrado akubali kumpa Ronaldo jezi namba 7

In Michezo

Moja kati ya uhamisho uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni uhamisho wa staa wa soka wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid na kujiunga na club yaJuventus ya Italia, hiyo ni baada ya kudumu na Real Madrid kwa miaka tisa.

Ronaldo amejiunga na Juventus akitokea Real Madrid kwa mkataba wa miaka minne kwa dau euro milioni 100 ambapo zitaongezeka euro milioni 12 katika kipindi cha miaka miwili baadae, hivyo baada ya kusaini ni wazi Ronaldo atatumia jezi yake namba saba ambayo amekuwa akiitumia miaka mingi.

Jezi namba saba kwa Juventus ilikuwa inavaliwa na Juan Cuadrado na baada ya Ronaldo kutangazwa rasmi kujiunga na JuventusCuadrado amekubali kubadili namba ya jezi na kumpa namba 7 Ronaldo 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

PICHA:Rais Magufuli akitoa salamu za pole familia ya Kikwete

Kufuatia kifo cha Rashid Mkwachu ambaye ni Baba mzazi wa mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, mama Salma

Read More...

Lugola awapa maagizo wakuu wa majeshi, Wafungwa watumie nguvu zao kujitaftia chakula.

Waziri wa mambo ya Ndani, Kangi Lugola mapema leo hii ameongea na vyombo vya habari akiwasilisha maagizo mbalimbali ambayo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu