Jussie Smollet wa Empire avunja ukimya baada ya kuvamiwa

In Burudani

Jussie Smollet wa Empire avunja ukimya baada ya kuvamiwa.

Star huyo wa Empire ameongelea kuhusu ubaguzi na hali ya kuvamiwa kitendo kilichotokea wiki iliyopita ,,,

Amewashukuru wale waliomsaidia na kumwonyesha upendo wa dhati na kuwa nae wakati huu wote na kuwajulisha mashabiki zake kuwa anaendelea kupata nafuu.

Jessie amesema hata kama amepata mshtuko wa aina gani ataendelea kuongoza kuonyesha upendo kwani ndio kitu anachokijua  kama vile the  late great Marvin Gaye once said, “Only love can conquer hate.” 

Familia yake imesema itampa ushirikiano siku zote.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu