Jux na Vanessa Mdee kuipeleka ILAM DR Congo, Rwanda na Burundi.

In Burudani

 

Vanessa Mdee na Jux wameahidi kufanya ziara yao hiyo ya muziki nchini DR Congo, Rwanda na Burundi hii ni baada ya kumaliza show yao ya mwisho Jijini Arusha.

Jux amesema “Hii show inaendelea tukitoka Dar tunaenda Rwanda, tukitoka Rwanda tunakwenda Burundi na tukitoka Burundi tunakwenda Congo.

Jux amefunguka hayo akiwa  Arusha katika ziara  ya muziki ya ‘In Love and Money Tour’  jijini hapa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Museveni akanusha kupigwa vibaya Bobi Wine.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu

Read More...

Dada yake Rais Magufuli aaga dunia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefiwa na dada yake, Monica Joseph Magufuli aliyekuwa amelazwa katika

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu